Samsung Galaxy S21

TZS 1975,000/=
Samsung Galaxy S21 ni moja ya simu zilizo na record ya ubora wa hali ya juu, katika soko la simu.
        HUU NDO UWEZO WA SIMU HII
Ram : 8Gb 
Storage : 128/256Gb
Android : 11
Simcard : 2 
Camera : 8 kati ya 10(Marks) 
Fingerprint : YES 
Memory card slot : No
UBORA 
1.Inasupport 5g network 
2.Selfie camera ni nzuri sana
3.Battery yake ni imara sana inatunza moto kwa muda mrefu. 
KASORO 
1.Package yake haiji na charger wala earphone
2.Haina slot ya kuweka memory card
3.Ni moja kati ya simu zenye bei kubwa



Comments