Samsung Galaxy S21 Ultra

TZS 2, 260, 000/=
Kwa mwaka 2021, Samsung Galaxy ndo simu bora yenye uwezo mkubwa zaidi kwa simu za Android. Hadi hivi sasa huwezi acha kuitaja kama moja kati ya simu bora zaidi duniani.
HUU NDO UWEZO WA SIMU HII 
Ram : 12/16Gb 
Storage : 128/256/512Gb 
Android : 11
Simcard : 2 
Camera : 8.5 kati ya 10(Marks) 
Fingerprint : YES(onscreen) 
Memory card slot : NO
UBORA 
1. Camera bora zaidi
2. Muonekano ni mzuri sana
3. Battery imara sana 
4. Fingerprint bora zaidi tofauti na matoleo yaliyopita
5. Inasupport S Pen ingawa haiji kwenye simu, una inunua pembeni.
KASORO 
1.Haiji na charge wala earphone
2.Memory card slot haipo 
3.Bei ya simu hii ni kubwa kutokana na ubora wake 



Comments