Samsung Galaxy S10

TZS 900,000/=
Katika matoleo yote yaliyopita ya "S series", Samsung Galaxy S10 imekuwa ni tolea lililo na maboresho makubwa sana na ubora wa hali ya juu.
  HUU NDO UWEZO WA SIMU HII
Ram : 8Gb
Storage : 128Gb
Android : 11
Simcard : 2
Camera : 7 kati ya 10(Marks)
Fingerprint : YES (onscreen) 
Memory Card Slot : YES





UBORA
1.Inatumia charger Type C ambayo inauwezo wa kujaza simu kwa haraka zaidi.
2.Ina Fingerprint ya kwenye screen (onscreen Fingerprint)
3.Waterproof
4.Ina Storage kubwa
KASORO
1.Bei yake ni kubwa
2.Battery haitunzi moto kwa kiwango kikubwa 

Comments